Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 11, 2014

BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AMSHINDA MOHAMED MATUMLA KWA POINTI  Bondia Mohamed Matumla kushoto akikwepa konde la Fransic Miyeyusho wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita miyeyusho alishinda kwa pointi na kuibuka msindi wa m,pambano huo wa kirafiki picha na Rajabu Mhamila
 Bondia Mohamed Matumla kushoto akimtupiana makonde  na Fransic Miyeyusho wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita miyeyusho alishinda kwa pointi na kuibuka msindi wa m,pambano huo wa kirafiki picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe'
Mabondia Halima Ramadhani kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba mchezo wao uliamliwa kuwa ni droo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Lulu Kayagekushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde naHalima Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba mchezo wao uliamliwa kuwa ni droo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Refarii Saidi Chaku akiwanyoosha mikono juu mabondia Lulu Kayage na Halima Ramadhani kuwa ni droo mpambano wao

Promota Ally Mwazoa kushoto akiwatunza mabondia Lulu Kayage na Halima Ramadhani baada ya kumaliza mpambano wao

Bondia Kassimu Gamboo akipambana na Kassimu Rajabu wakati wa mpambano wao Gamboo alishinda kwa point
kassimu gamboo akinyoshwa mkono juu kuashilia ushindi wake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...