Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 29, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI KWA MWAKA 2014 JIJINI DAR LEO. Makamu wa Rais Dkt Bilal, akipokea zawadi baada ya kufungua rasmo mkutano huo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Makandarasi. 
 Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi kwa mwaka 2014, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam leo mchana. Mbali na ufunguzi wa mkutano huo pia Makamu, alishuhudia hafla ya kuapishwa kwa Wakandarasi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...