Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 12, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MABIBO MWISHO


Bondia Fabian Lymo kushoto akipambana na Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika Mabibo Dar es salaam jana Lymo alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fabian Lymo kushoto akipambana na Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika Mabibo Dar es salaam jana Lymo alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
mabondia baada ya kumaliza mpambano wao
Bondia Fabian Lymo kushoto akinyoshwa mkono juu baada ya kumshinda  Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika Mabibo Dar es salaam jana Lymo alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Said Muhidiniakiwa chini baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Nassibu Ramadhani
Bondia Nassibu Ramadhani akipambana na Bondia Said Muhidini Ramadhani alishinda kwa T,K,O ya raundi ya kwanza
Kocha wa mchezo wa ngumi Ramadhani Uhadi akimwelekeza jinsi ku kutupa makonde bondia Fabian Lymo
Fabian Lymo


Msanii wa muziki wa hipop Karama Masoud 'Kala Pina'  akitumbuiza katika onesho lake lililofanyika mwishondi wa weiki iliyopita katika ukumbi wa D.I.D hall uliopo Mabibo mwisho Dar es salaam

Bondia Nassibu Ramadhani wa pili kulia akiwa na mashabiki wake uku wakiangalia ngumi katika ukumbi wa DID Mabibo mwisho jana
Bondia Juma Fundi kushoto akipambana na Baina Mazola wakati wa mpambano wao uliofanyika mabibo mwisho Dar es salaam jana Fundi alishinda kwa point mchezo huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...