Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 21, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA


Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli akiwasilisha hotuba yake ya Bajeti ya mwaka 2014/2015 Bungeni Mjini Dodoma.
 Wabunge wakichangia Hotuba ya Ujenzi hii leo.Waziri Willium Lukuvi na Naibu Waziri Januari Makamba wakijadiliana jambo Bungeni mjini Dodoma.
 Mawaziri Bungeni Mjini Dodoma
 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akizungumza jambo na Wabunge wa Chadema, Grace Kiwelu (kushoto) na Lucy Owenya nje ya Bunge
 Wabunge wakitoka Bungeni
 Mkongwe John Shibuda (Chadema) akiteta jambo na vijana David Kafulila (NCCR)  (kushoto) na Deo Fillkunjombe (CCM).
Mbunge wa Nzega mkoani Tabora, Dk. Hamisi Kingwangala akiwa pamoja na wabunge wenzake kutoka kushoto, Sarah Msafiri, (Viiti Maalum), Faida Mohamed Bakar (Viti Maalum) na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba nje ya Bunge mjini Dodoma jana.
Wabunge Idd Azan wa Kinondoni (kushoto) akiwa na Ismail Aden Rage Tabora Mjini  mjini Dodoma
Magufuli akiwa na Wabunge mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...