Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 20, 2014

TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA'KINGA YA MOYO WANGU'


 Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na Leo Tena vya Clouds FM.
  Meneja Usambazaji wa Kampuni  inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi  ya bima Tanzania, Donald Galinoma (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. katikati ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez 

Meneja Mkazi wa Kampuni  inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi  ya bima Tanzania, Christian Karlander (kulia) akionyesha kipeperushi wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...