Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 28, 2014

... MEMBE AKOMAA NA BAJETI YAKE KUPITA LICHA YA SUALA LA M23 KUINGIZWA BUNGENI...


 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiwasilisha Bungeni Mjini Dodoma Mei 27,2014 hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Baada ya mjada mrefu ambao pia ulihusisha mahusiano baina ya Tanzania na nchi jirani na namna Tanzania inavyosuluhusha migogoro kwa majirani na lile suala la wapiganaji waasi wa M23 nchini Congo DRC Bajeti hiyo ilipita.
 Wakuu wa Taasisi Mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wakifuatilia Bunge wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yao.
 Wanafunzi kutoka Vyuo vikuu vya Mzumbe (MU) na Dar es Salaam (UDSM) wakifuatilia mijadala ya Bunge wakati wakijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
 Maofisa mbalimbali kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa Bungeni mjini Dodoma kufuatilia hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Mei 27,2014

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...