Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 20, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA MJINI DODOMAPG4A9685 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la zabibu wakati walipotembelea shamba lake lililopo zuzu mjini Dodoma Mei 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9725 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr.Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Mei 19 , 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9818Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2014.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki, Ernest Leroux, Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na kati, Jerry Gilbert na kushoto ni Connie Anyika. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...