Rais Kikwete awasili kutoka Ghana, afuturu na watoto Yatima na Walemavu Ikulu
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana
ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wan chi hiyo Marehemu John
Atta Mills. Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali
Davis Mwamnyange.
Baadhi ya watoto yatima na walemavu wakishiriki katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakigawa zawadi
kwa watoto yatima na walemavu waliohudhuria futari waliyowaandalia ikulu
jijini Dar es Salaam jana jioni.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment