Kaimu Afisa Uhusiano wa wa
Mfuko wa Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) Hawa Kikeke(kushoto) na
Afisa Malipo ya Pesheni wa Mfuko wa Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF)
Andrew Dayson (wa pili kutoka kushoto) wakiwasaidia Maafisa
wa Polisi juu ya kupata taarifa za michango yao mbalimbali ambayo
wamekwishachangia tangu waingie katika utumishi wa umma wakati
walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya
nanenane jana mjini Dodoma.
Afisa
Uhusiano wa Chuo Mipango Dodoma Sarah Mmari (kushoto) akimwelimisha
Yulis Otto (kulia) utaratibu wa kujiunga na masomo katika Chuo hicho
wakati mzee huyo alioptembelea banda la Wizara ya Fedha jana katika
maonyesho yanayoendelea mjini Dodoma.
Afisa
Uhusiano wa Chuo Mipango Dodoma Sarah Mmari (kushoto) akimwelimisha
Yulis Otto (kulia) utaratibu wa kujiunga na masomo katika Chuo hicho
wakati mzee huyo alioptembelea banda la Wizara ya Fedha jana katika
maonyesho yanayoendelea mjini Dodoma.
Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Emilia Mkubulo(kulia) akimwelimisha mmoja wa wananchi faida za kununua hisa jana mjini Dodoma alipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonyesho ya wakulima nanenane.
Mtunzaji Kumbukumbu na Mhasibu Abbas Mnyeto wa Wizara ya Fedha
wakiwasaidia wazee wastafu upande wa Kilimo juu ya taratibu za kupata
pesheni kwa watumishi wanapostaafu jana mjini Dodoma walipokuwa kwenye
banda la Wizara hiyo kwenye maonyesho ya wakulima nanenane.
Afisa
Malipo ya Pesheni wa Mfuko wa Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF)
Andrew Dayson (kushoto) akiwasidia Maafisa Polisi kujua kiwango michango
yao mbalimbali ambayo wamekwishachangia tangu waingie katika utumishi
wa umma wakati walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho
ya wakulima ya nanenane jana mjini Dodoma.
Afisa
Uendeshaji wa Mfuko wa Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) Kahenga
Maulid( wa pili kutoka kulia) na Afisa Malipo ya Pesheni wa Mfuko wa
Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) Andrew Dayson (wa pili kutoka
kushoto) wakiwasaidia watumishi wa Chuo kikuu cha Dodoma
(UDOM) Monica Kung’aro (kushoto) na Mary Kulwijila(kulia) juu ya kupata
taarifa za michango yao mbalimbali ambayo wamekwishachangia tangu
waingie katika utumishi wa umma wakati walipotembelea banda la Wizara ya
Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane jana mjini Dodoma.
Afisa
Masoko kutoka Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Said Mkomwa(kulia)
akiwaelimisha wananchi faida za kuwekeza katika mifuko iliyoanzishwa na
Dhamana ya Uwekezaji Tanzania jana mjini Dodoma walipotembelea banda la
Wizara hiyo kwenye maonyesho ya wakulima nanenane. Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma.
No comments:
Post a Comment