Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, March 22, 2014

AJALI ILIYOTOKEA LEO UBUNGO


 Basi la UDA likiwa limebebwa kwa juu katika eneo la tukio
 
Ajari mbaya iliyo husisha magari takribani 5 imetokea maeneo ya ubungo  mkabala na stendi ya mabasi ya mikoani ikihusisha magari ya abiria uda  na gari zingine ndogo mpaka sasa haijajulikana idadi sahihi ya watu walio poteza maisha

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...