Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 14, 2014

MIKANDA YA MABONDIA YAWASILI NCHINI


Promota wa mpambano wa ngumi Ally Mwazoa kushoto akielezea mikanda ya mabondia iliyowasili kwa ajili ya kugombaniwa na mabondia Japhert Kaseba na Thomas Mashali na Alan Kamote na Fadhili Awadhi kulia ni raisi wa PST EMANUEL MLUNDWA

Rais wa chama cha ngumi za kulipwa nchini Emanuel Mlundwa kushoto akiwa ameshika mkanda utakaogombaniwa na mabondia Thomas Mashali na Japhert Kaseba mara baada ya kuwasili kwa mikanda hiyo ya UBO Afrika na wa Kimataifa wa UBO ulioshikwa na promota Ally Mwazoa utakaogombaniwa na Alan Kamote na Fadhili Awadhi siku ya March 29 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...