Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 20, 2014

CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE


 
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akimuinua Mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana pamoja na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiwapungia mkono wananchi wa Jimbo la Chalinze na WanaCCM waliofika kwa wingi kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi na wanaCCM wa Jimbo la Chalinze wakati akiwahutubia kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014 kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani
Mjumbe wa NEC na Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akijumuina na WanaCCM wa Jimbo la Chalinze huku akiwa amebeba bango la Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete.Picha na Othman Michuzi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...