Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 11, 2014

Maafande wa Polisi Moro yarejea tena Ligi KuuTIMU ya soka ya Polisi Moro imekuwa timu ya kwanza kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kufanya vyema kweli Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL) kundi B, huku ikiwa imesaliwa na mechi mbili mkononi kuhitimisha mechi zake.
Polisi walioshuka daraja msimu uliopita sambamba na timu za Toto Africans na African Lyon ambazo nazo zinapigana kurejea zikiwa katika makundi mawili tofauti.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...