Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, March 15, 2014

MANNY CHUGA AJIANDAA KUMKABILI SELEMANI MOTTO MARCH 23

Kocha wa mchezo wa ngumi Waziri Chara kushoto akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga' wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto  akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga ngumi kwa shabaha wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa mchezo wa ngumi Waziri Chara kushoto  akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga'  jinsi ya kupiga beg wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto  akimwelekeza bondia Amani Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga ngumi kwa shabaha wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...