Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 17, 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA MAREHEMU FADHILI AWADHI KABLA YA KIFO CHAKE


BONDIA FADHILI AWADHI ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA ULINGONI
PROMOTA WA MCHEZO WA MASUMBWI ALLY MWAZOA AKIMJULIA ALI BONDIA FADHILI AWADHI ALIPOKUWA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA jana

Bondia Fadhili Awadhi akiwa amelazwa katika hospitali ya mwananyamakla kabla ya kifo kumfika
WADAU MBALIMBALI WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKIMWANGALIA MAREHEMU FADHILI AWADHI KABLA YA KIFO CHAKE KILICHOTOKEA LEO


Bondia Fadhili Awadhi 'Mnyama Chui'  kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na Yohana Matayo 'Tembo Mtoto' wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Texas Mnzese Dar es salaam Awadhi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhili Awadhi 'Mnyama Chui'  kulia akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na Yohana Matayo 'Tembo Mtoto' wakati wa mpambano wao wa kuukaribisha mwaka mpya uliofanyika katika ukumbi wa Texas Mnzese Dar es salaam Awadhi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhili Awadhi kushoto akipambana na Mfaume Jumanne wakati wa mpambano wao Awadhi alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpanmbano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Fadhili Awadhi akiwa amemgalagaza chini Mfaume jumanne Bondia Mussa Sunga kushoto akipambana na Fahiri Awadhi wakati wa mpambano wao uliofganyika jumapili Awadhi alishinda kwa Point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...