Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, March 15, 2014

UZINDUZI (WEB SITE) JUMUIYA YA FEWE ZANZIBAR

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akizindua Mtandao wa  Blog ya  (WEB SITE) wa Jumiya ya Fawe Zanzibar katika ukumbi wa Chuo  Kikuu cha Zanzibar SUZA leo  asubuhi,(kulia) Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed.
 Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar na wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza katika uzinduzi wa Mtandao wa Web site  wa Fawe Zanzibar uliofanyika le katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.

 Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza na wanachama na wananchi katika uzinduzi wa Mtandao wa Web site  wa Fawe Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akimkabidhi cheti  Bi Asha Abdalla Juma kwa niaba ya Bi Mwatima Abdalla Juma wakiwa waanzilishi wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar ,wakati wa uzinduzi wa WEB SITE ya Jumuiya hiyo Uliofanyika katika Ukumbi wa  wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...