Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 21, 2014

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI


 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukweli akitoa burudani kwa wananchi wakazi wa kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo.
 Ridhiwani akizungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni, leo.
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mzee Ally Mohamed Meta mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kampeni kwenye Kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akitambulishwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwidu,Mzee Mohamed Said kwa Bw. Chomiki kutoka jamii ya Wafugaji mwenye makazi katika kijiji hicho,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.Picha na Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...