Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 27, 2014

KAMPUNI YA KIMATAIFA KUTOA MAFUNZO YA KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI

Mkurugenzi Mtendaji wa Calderberg, Apollo Temu kushoto akizungumza na waandishi wa habari 'hawapo pichani' kuhusu mafunzo ya sekta ya mafuta na gesi yanayotolewa na kampuni hiyo kwa kushilikiana na Kampuni ya kimataifa ya MDT Intanational kulia ni Meneja wa MDT Intanational, Douglas Reid picha na www.burudan.blogspot.com

Mkurugenzi Mtendaji wa Calderberg, Apollo Temu

wana habari wakifatilia matukio mbalimbali
Mkurugenzi Mtendaji wa Calderberg, Apollo Temu kushoto akizungumza na waandishi wa habari 'hawapo pichani' kuhusu mafunzo ya sekta ya mafuta na gesi yanayotolewa na kampuni hiyo kwa kushilikiana na Kampuni ya kimataifa ya MDT Intanational kulia ni Meneja wa MDT Intanational, Douglas Reid picha na www.burudan.blogspot.com

Mkurugenzi Mtendaji wa Calderberg, Apollo Temu kushoto akipeana mkono na Meneja wa MDT Intanational, Douglas Reid baada ya jkumaliza mazungumzo yao na wana habari picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...