Ali Kiba wa Bongo Fleva akitaka kumtoka beki wa Bongo Movie katika mechi iliyochezwa leo jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar.Bongo Fleva waibuka kidedea kwa ushindi wa mabao 2-0 yaliyotiwa kimyani na mshambuliaji H. Baba.
Dr. Mtitu wa Bongo Movie akikimbia na mpira huku beki wa Bongo Fleva akimfukuzia.
Mawaidha kwa Bongo Fleva yakiongozwa na Sir Juma Nature huku wengine wakisikiliza kwa makini.
Kipemba akiigiza kama mmoja wa wahanga wa Gongo la Mboto.
Mmoja wa wazee wa kamati ya Ufundi ya Bongo Movie akionyesha ishara ya ushindi wa magoli manne.
Umati mkubwa uliojitokeza uwanjani hapo.
Mjomba Mpoto akifanya vitu vyake kabla ya mtanange kuanza.
Linnah
Hafsa Kazinja
Wana Sharobaro wakiwajibika mchana wa leo.
Wimbo wa Adela ukitendewa haki na Ismaeel,Mjomba na Linnah
Amini akifanya mambo yake.