Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, February 20, 2011

MISAADA YAZIDI KUMIMINIKA GONGOLAMBOTO

Vijana wanaosoma vyuo vikuu vya Dar es salaam wakiwakilisha mchango wao
Wafanyakazi wa mariedo walikuwepo kuwakilisha mchango wao
vijana wa vyuo vikuu wakitoa msaada wa pesa taslimu


Waombelezaji wakiwa katika kuaga miili ya marehemu wa familia moja iliyopoteza watu watatu katika milipuko hiyo gongolamboto


Asha Mahita Mganga Mkuu wa Hospital ya Amana akisalimiana na Dkt. Wilbrod Slaa wakati alipokwenda kuangalia na kutoa msaada wa CHADEMA
Miili ya familia moja iliyokufa ikiwa kwenye majeneza tayali kwa kuangwa ili iende kuzikwa Rolya
Dkt, Slaa akitoa heshima za mwisho
Lion club walileta misaada mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said Meck Sadiki akipokea msaada wa vitu mbalimbali toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Yono Auction Mart.Bi. Scholastica Kevela kwa ajili ya waliopatwa na maafa ya mabomu Gongolamboto

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...