
Watoto wa Kijitonyama Tennis Klabu wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Chuo cha Posta Dar es Salaam

Piga

Mchezaji wa Tennis, Matt Chuwa, wa Klabu ya Kijitonyaama akijiandaa kucheza mpira wakati wa mazoezi kwenye uwanja wa Chuo cha Posta jijini Dar es Salaam

Matt Chuwa akicheza

Mchezaji wa Tennis, Lailat Bonjee, wa Klabu ya Kijitonyaama akicheza mpira wakati wa mazoezi kwenye uwanja wa Chuo cha Posta jijini Dar es Salaam

Chuwa akicheza
No comments:
Post a Comment