Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 21, 2011

ZANTEL YAJA NA MZUKA KAMILI USIKU KUCHA

cid:image003.jpg@01CBC874.D368E6A0

Huduma ya Mzuka Kamili sasa imeboreshwa zaidi kuwawezesha wateja wa Zantel kupiga simu na kutuma meseji kwa bei ya chini kabisa kuliko mitandao yote nchini. Kupitia huduma hii Mteja wa Zantel atapata SMS 200 bure kila siku kwenda mtandao wowote nchini kuanzia saa 1:15 asubuhi mpaka saa 6:00 usiku.Vile vile Mteja anaweza kupiga simu Zantel kwenda Zantel kwa robo shilingi kwa sekunde kuanzia saa 4:30 usiku mpaka saa 12:59 asubuhi.Mteja anaweza kujiunga na Mzuka kamili muda wowote kuanzia saa 1:15 asubuhi mpaka saa 12:30 asubuhi siku inayofuata. Huduma hii inapatikana nchi nzima kwa wateja wa Zantel pekee.

Kujiunga piga *160# kwa gharama ya Tsh 200 tu kwa siku.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...