Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 25, 2011

UWT KINONDONI WAFANYA MKUTANO LEO

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi. Sofia Simba akiagana na mwenyekiti wa Wilaya ya Kinondoni Bi.Anna Pascal baada ya kufungua mkutano leo

Wanachama wa Umoja wa Wanawake UWT wakishangilia
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi. Sofia Simba akivishwa kidani na mwenyekiti wa Wilaya ya Kinondoni Bi.Anna Pascal kama zawadi kutoka Wilaya hiyo baada ya kufungua mkutano leo

mwenyekiti Umoja wa Wanawake UWT Wilaya ya Kinondoni Bi.Anna Pascal akionesha kidani walichomzawadia Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja huo
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi. Sofia Simba akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa huomoja uho Wilaya ya Kinondoni kushoto ni mwenyekiti Umoja wa Wanawake UWT Wilaya ya Kinondoni Bi.Anna Pascal kulia ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es salaam Bi. Zalina Madabida


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...