Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, February 2, 2011

SHIRIKA LA NYUMBA LATOA SIKU 26 KWA WADAIWA SUGU KULIPA MADENI YAO

Mkurugenzi wa Matawi na Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Raymond Mndolwa akitangaza uamuzi wa shirika hilo kutoa muda wa hadi tarehe 28 mwezi huu kwa wadaiwa wa shirika hilo kulipa madeni yao, kinyume na hapo shirika hilo litachukua hatua ya kutoa vitu vyao vya ndani na kuvipiga mnada. Kushoto ni Mkuu wa Elimu kwa Umma na Huduma kwa Jamii Bi. Susan Omari.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...