Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 11, 2011

MLELA VS HEMED WAKUTANISHWA USO KWA USO KATIKA Sound Of Death


Siku Mlela na Hemed (mafahari wawili) walipokutana uso kwa uso ndani ya Sound Of
Death!
'Babu wa Masharobaro' (Hemed) akila kuku kwa mrija
Scene za kipolisi
JB 'baba lao'
Maya (kulia) ndani ya ukachero
Aunt Ezekiel uso kwa uso na Ijumaa Sexiet Boy, Mlela
Patcho Mwamba....naye yumo
Rose Ndauka chini ya himaya ya Hemed
Kampuni inayoongoza kwa utengenezaji wa muvi kali za kibongo, kwa ubora wa hali ya juu, Game 1St Quality, inakuja na muvi iliyowakutanisha mastaa kibao wa Bongo, wakiwemo mafahari wawili, Hemed na Mlela. Muvi hiyo inayojulikana kwa jina la Sound Of Death, inatarajiwa kuingia sokoni kwa kishindo siku chache zijazo. Ndani ya muvi hiyo, yumo JB kama staa, Aunt Ezekil, Yusuf Mlela, Hemed, Rose Ndauka, Patcho Mwamba, Mayasa Mrisho, Anti Fifi, Flora Mvungi na wengine kibao wenye majina.....mzigo unatisha kwa stori na mikasa! Ukitoka si wa kukosa!!
http://abdallahmrisho.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...