Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 24, 2011

WAKAZI WA KOTA ZA BANDARI WAFANYA MKUTANO WA KUMPINGA MKUCHIKA


Mwanasheria wa Kampuni ya Kibasila Estates Public Limited. Dkt. Sengondo Mvungi akifafanua jambo wakati wa mkutano wa dharula na wateja wake Kota za Bandari Dar es Salaam baada ya taarifa ya Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw.George Mkuchika kusikika akisema kupitia vyombo vya habari kuwa watu hao wamelipwa na wanatakiwa kobomoa nyumba zao ambapo kesi yao ya msingi haijatajwa na na hawajalipwaMwenyekiti wa Kamati ya Kibasila Estates Public Company Limited Bi.Fatma Msindi akizungumza wakati wa mkutano wao leoWakiagana baada ya kumaliza kikao chao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...