Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, February 19, 2011

ZANTEL YATOA MSAADA WA ZAIDI YA MILIONI 200 KWA WAASILIKA WA MABOMU GONGOLAMBOTO


Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Kampuni ya simu Zantel Bw. William Mpinga (kulia) akimkabidhi msaada wa magodoro vyakula pamoja na vitu mbalimbali kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Chiku Galawa kwa ajili ya watu waliopatwa na maafa ya kulipukiwa na mabomu, Gongolamboto leo jumla ya garama ya vitu vyote milioni 20 vilivyotolewa na Kampuni hiyoBaadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Zantel wakishusha magodoro waliyotoa msaada kwa ajili ya watu waliopatwa na maafa ya kulipukiwa na mabomu, Gongolamboto Dar es SalaamNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...