Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 18, 2011

KONYAGI KUSAFISHA UFUKWE WA BAHARI YA HINDI KESHO

NMeneja Mauzo wa Kanda Kampuni ya Konyagi Bw. Narcius Ngaillo akizungumza na waandishi wa habari Dar Es Salaam leo ambapo wamezamini kusafishwa kwa mazingira ya fukwe Bahari ya Hindi itakayofanyika kesho na Mgeni rasmi ni Msaiki Meya wa Jiji Bw. Didasi Masabuli
Baadhi ya vibarua wa Mamlaka ya Bandari Tanzania 'TPA' wakifanya usafi pembezoni mwa ufukwe wa bahari ya hindi Dar es salaam leo ambapo wadau mbalimbali watajitokeza leo kufanya usafi wa mazingira yanayodhaminiwa na Kampuni ya Konyagi

Ofisa Utalii wa Jiji la Dar es salaam Bi.Neema Kinyagu akizungumza
Baadhi ya vibarua wa Mamlaka ya Bandari Tanzania 'TPA' wakifanya usafi pembezoni mwa ufukwe wa bahari ya hindi Dar es salaam leo ambapo wadau mbalimbali watajitokeza leo kufanya usafi wa mazingira yanayodhaminiwa na Kampuni ya Konyagi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...