Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 8, 2011

RAY KUTOKA NA FILAMU YA NYUMBA NDOGO


MSANII wa filam nchini Vicent Kigisi Ray nyota wa fani hiyo nchini yupo mbioni kuachia kutoa kazi nyingine itwayo 'The Sacond Wife' filamu hiyo ya kimapenzi imewashilikisha wasanii nyota kadhaa pamoja na waigizaji chipukizi ambao wameibukia katika fani hiyo filamu hiyo iliyotaalishwa na Kampuni ya RJ.Prodution Ni Miongoni wa waigizaji walioshiliki ni Ray,mwenyewe,Colleta Raymond,Aisha BUI,Riyana Ally, Msungu, Ramla na mtoto aitwaye Aisha ambaye ni chipukizi Ray ameanika kwenye mtandao wake kuwa filamu hiyo ambayo amigiza kama muumini wa kislam ipo hatua ya mwisho kabla kuachiwa ni moja ya kazi yenye mafunzo makubwa kwa jamii. 'Kama nilivyofanya kwenye offside kwenye Divorce ndani ya filamu hii mafunzo ni yaleyale na mashabiki mkae mkao wa kula kupata huondo' alisema Ray kwa mujibu wa taalifa hizo kama filamu zake nyingine, The Seco Wife' itasambazwa na Kampuni ya Steps Entertainment.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...