Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 18, 2011

VODA COM YATOA MSAADA janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto

Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiwa amebeba kapu lenye mikate kwa ajili ya waadhirika wa janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto waliopo katika kiwanja cha uhuru,Vodacom Foundation ilitoa misaada mbalimbali .
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishusha vyakula mbalimbali katika lori lililosheheni misaada ya vyakula mbalimbali kwa ajili ya waadhirika wa janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto waliopo katika kiwanja cha uhuru .
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba pamoja na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakishusha na kuwakabidhi vyakula mbalimbali wafanyakazi wa Red Cross waliopo katika kiwanja cha uhuru kwa ajili ya kutoa huduma kwa waadhirika wa janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...