Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, February 22, 2011

WAFANYAKAZI WA BENK YA EXIM WACHANGIA DAMU GONGO LA MBOTO

Muhuguzi toka Mpango wa Taifa Damu Salama Bi.Selina Sahani akimtoa Damu Ofisa wa benk ya Exim Bw.Solomoni Zabloni leo wakati wa kuchangia damu kwa wathilika wa mabomu Gongola mboto leo
Baadhi ya Maofisawakiangalia fomu kabla ya kupimwa na kuchukuliwa damu
Ofisa wa Exim bank Bi, Veronika Mtoi akiwa tayali kwa kutolewa damu

Maofisa wa BANK wakisubili kutoa damu


wafanyakazi wa kitemgo cha Damu Salama wakimuhudumia mtoa Damuwakipimwa presha kabla ya kutoa damutunasubili kuchangia Damu


Marketing Executive Bw. Oscar Ruhasha akiwaelekeza utalatibu utakavyokuwa kabla awajanza kutoa Damu
Maofisa wa bank Eximu wakitoa Damu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...