Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, February 6, 2011

TIMU YA TAIFA YA PALESTENA YATUA KUIKABILI TAIFA STARS

Balozi wa Palestina Nchini Dr. Nasri Abu Jaish mwenye suti nyeusi katikati akiwa na wachezaji wa timu ya taifa hilo baada ya kuwasili Dar es salasam leoWachezaji wa timu ya taifa ya Palestina wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa KImataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania


NILIPOKUWA TUNAWASUBILI WAPALESTINA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE LEO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...