Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 11, 2011

MASHABIKI NA WAPENZI WA WEKUNDU WA MSIMBAZI WAPANGA KUTIA MOTO BAR HII ILIYOPO KIJITONYAMA

Wadau wa nyamachoma na bidhaa zilizoandikwa katika Pub hii, ambao pia ni wapenzi na mashabiki wa damu na Mnyama Mwekundu yaani Simba Sports Club, je wanaweza kuinga mahala hapa kwa ajili ya kupata huduma zitolewazo mahala hapa? Nazani sasa ifikie mahali wafanyabiashara mfikirie mara mbilimbili majina ya kuandika katika sehemu za biashara ili uweze kupata wateja wa aina zote.Hapa nisehemu ya nje kama inavyoonekana na matangazo ya bidhaa zinazopatikana katika Pub hiyo.

4 comments:

  1. Kaka mbona hivyo...tembea uone, huwezi kumfurahisha kila mtu, jamaa ana uhuru wa kuandika chochote anachotaka, mteja atakeyependa kwenda aende. Huu ni ufinyu wa kufikiri...Elimu tunayopata inatusaidia nini? kama tunashindwa walau kwa madogo kama haya...sijui

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu nakubaliana na wewe kabisa. Watakaopenda kwenda waende, wabongo mbona tunapendana kufuatiliana hivyo. Jamaa kafungua biashara yake na ameona jina hilo lingefaa sisi tumeaanza aha, aha, aha...utoto huo.

    ReplyDelete
  3. Wewe kaka unaamini "relativism" si ndiyo? you cannot accommodate kila mtu, otherwise tutashindwa make important decisions kama tunataka accommodate kila mtu....jina hilo halina shida as much the owner ameona kuwa linafaa...

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...