Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, February 21, 2011

KILI MUSIC AWARDS YAPAMBA MOTO 2011

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akitaja majina ya wanamuziki bora kwa mwaka 2011 wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo.Kampuni ya Bia nchini ndio wadamini wakuu wa michuano hiyo.Kulia ni Mratibu wa tuzo kutoka BASATA Agello Luhala


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...