Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa (kulia)
akiongea jambo na Mbunge wa Dole, Sylvester Mabumba (kushoto) nje ya
ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma. Dk. Kawambwa amewasilisha leo hotuba
ya wizara hiyo ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2012/2013.
|
No comments:
Post a Comment