Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akifungua rasmi mkutano wa wadau wa chanjo wa
uraghibishi kuhusu uanzishaji wa chanjo mbili mpya za kukinga magonjwa
ya nimonia na kuhara kwa watoto. Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya
Serena,jijini Dar es Salaam tarehe 14.8.2012. Taasisi ya WAMA
hujishughulisha pia na masuala ya afya ya mama na mtoto. PICHA NA JOHN
LUKUWI
|
No comments:
Post a Comment