Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 14, 2012

Grand Malt wafutarisha jijini Dar salaam.



Wageni waalikwa kwenye futari iliyoandaliwana Kinywaji hicho kisicho na kilevi nchini wakifutari mara baada ya swala ya magharibi jioni ya leo jijini Dar es Salaa.



Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa wameungana na waislamu duniani kote kwenye futari ya mwezi mtukufuwa ramadhaniambao upo kwenye kumila mwisho kumila maghfira.
Mara baada ya futari zikawekwa kumukumbu zapicha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...