Waumini wa
Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa
Zanzibar PBZ, hafla hiyo ilifanyika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Zanzibar
|
Baadhi ya kinamama waliohudhuria futari hiyo wakichukua futari. |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel, kuhudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ jana jioni na kupokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki Mzee Abrahmani Mwinyijumbe (wapili kulia) na Meneja wa Benki hiyo Juma Amour (kushoto). |
Dk. Shein akichukua Futari. |
No comments:
Post a Comment