Meneja
wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola (kushoto) akipeana mkono na
Mbunge wa Sunve, Richard Ndassa baada ya kukabidhi msaada wa madawati na
viti vyenye thamani ya sh. milioni 5 kwa ajili ya Shule ya Sekondari ya
Sunve. Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Sunve, Edna
Kingu. Hafla hiyo ilifanyika wilayani Kwimba, Mwanza
No comments:
Post a Comment