Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 22, 2013

SIKIA HAYA YA RUVUMA: WANAKIJIJI WAFURAHIA KUONA UMEME KWA MARA YA KWANZA TOKA KUUMBWA KWA DUNIA.


Vifaa vya Umeme Jua.

Na Steven Augustino, Tunduru
WAKAZI wa Kijiji cha Tinginya, tarafa ya Nakapanya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamelipuka kwa furaha baada ya kupata umeme kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe kijini kwao.
Kwa namna ya pekee wakazi hao, wameipongeza Serikali kwa kuwafungia Mfumo wa Umeme Jua (SOLA) katika Zahanati yao na kueleza kuwa mradi huo utawakomboa wanawake ambao kwa muda mrefu walikuwa wakijifungua wakiwa gizani.

Kwa nyakati tofauti, wakazi hao wakiongozwa na Fatuma Mapila na Aliahad Abdalahman ambao walikuwa wamepeleka mtoto wao kwa ajili ya matibabu na Muuguzi wa Zahanati hiyo, Grolia Lup

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...