Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 11, 2013

Airtel yazindua huduma maalumu kwa wateja wake ijulikanayo kama Airtel PremiumMkurugenzi mkuu wa Airtel Sunil Colaso akimzawadia bi Rose Maina mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya kwa wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja bi Adriana Lyamba.
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Adriana Lyamba akimzawadia bw. Joseph Mambo .mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya ya wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam, akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Sunil Colaso.
Mteja wa Airtel bw. Picket Robert Miranda (kushoto) akiongea na mkurugenzi wa huduma kwa wateja Adriana Lyamba (kulia) na Meneja wa huduma kwa wateja Hilda Nakajumo (katikati) katika uzinduzi wa huduma mpya ya wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi mkuu wa Airtel Sunil Colaso (kushoto) na wafanyakazi wengine wa Airtel, Adriana Lyamba (Kulia) akifuatiwa na Meneja wa huduma kwa wateja Hilda Nakajumo wakiongea na mmoja wa wateja wa Airtel David Mukama(wa pili kushoto) katika uzinduzi wa huduma mpya kwa wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Adriana Lyamba akimzawadia bw. Abdual Salum mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya ya wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam, akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Sunil Colaso.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...