Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 9, 2013

AFISA UTAMADUNI JIJI LA TANGA AKAGUA KAMBI YA TAIFA YA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 ILIYOKO JIJINI TANGAAfisa Utamaduni Jiji la Tanga, Peter Semfuko (katikati) ,Matron Hilda Mwinyi (Kulia), na mratibu wa kamati ya maandalizi Kessy Salum Mbasha (Kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania 2013, alipo kwenda kukagua kambi na kuzungumza na warembo hao Jana katika hoteli ya Mwambani Tanga Beach.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...