Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 2, 2013

DALADALA YAGONGA NYUMBA HUKO MAGOMENI JIJINI DAR JANA


 Baadhi ya wakazi wa magomeni wakishuhudia magari mawili aina ya daladala ambayo ufanya safari zake kati ya Ubungo na Kariakoo yakiwa yamepata ajali mara baada ya kuwa yakikimbizana kuwahi abiria na kupelekea dereva wa gari la kwanza kushinda kuthibiti mwendo wake na kujikuta akiimalizia safari yake kwenye nyumba ya watu hapo jana jioni
Daladala linalofanya safari zake kati ya Ubungo na Kariakoo likiwa limengonga nyumba maeneo ya Magomeni Usalama baada ya kushindwa kuthibiti mwendo kasi wakati wakikimbizana na Daladala nyingine nyuma kwaajili ya kuwahi abiria na kujikuta safari yao ikiishia kwenye nyumba ya watu magomeni hapo jana jioni. Mpaka tunaondoka eneo la tukio hakuna taarifa ya aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...