Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 22, 2013

SUGU ALICHAFUA BUNGE


HOTUBA YAKE YANG2ATA, YADAIWA KUJAA UCHOCHEZI, SPIKA ALIAHRISHA BUNGE, WAANDISHI WAMSHANGAA WAZIRI. TUNDU LISSU, AANE KILANGO NUSURA WAZICHAPE NJE YA BUNGE. 
http://www.mtanzania.co.tz
MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI CHADEMA JOSEPH MBILINYI A.K.A SUGU.

HOTUBA ya Kambi rasmi ya Upinzani jana ilichafua hali ya hewa bungeni, hatua iliyomlazimu Spika, Anne Makinda kuahirisha kikao cha Bunge asubuhi kabla ya muda rasmi.

Hatua hiyo ilikuja wakati msemaji wa kambi hiyo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu alipokuwa akisoma hotuba hiyo iliyodaiwa kujaa lugha ya uchochezi. 


Hotuba hiyo ilisomwa muda mfupi baada ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fen

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...