Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 14, 2013

TAARIFA YA CHEMUNDUGWAO


MIMI NASHANGAA SANA JUU YA SERIKALI PALE BIFU ZINZPOKOTEZEA KWA RUGE
BASI UHINGILIA KATI KUTAFUTA SULUU KWA KWELI KUNAACHA MASWALI MENGI.
KWA MTAZAMO WA KIUNGWANA NI NI JAMBAO JEMA SANA WALAKINI YANGU KWA
NINI IWE KWA RUGE TU AWALI WAZIRI NCHIMBI AKIWA NAIBU WA WIZARA YETU
YA HABARI UTAMADUNI,VIJANA NA MICHEZO A AMEINGILIA KATI JAMBO LA RUGE
NA MBILINYI (SUGU) NA SASA TUNASIKIA RUGE NA LADY J DEE
SERIKALI IMEINGILIA KATI
MAONI WENGI MBONA KUMBUKA ASHA BARAKA WA TWANGA PEPETA NA MAMAA WA
MASHUJAA HATA  TAFF NA BONGO BOVIE, VIKUNDI VYA TAARABU NI BAHADHI TU
LAKINI WENGI WAPO WALIKUWA KWENYE MVUTANO MKALI LAKINI ASERIKALI IKIWAKIMYA
USHAURI WANGU HATUA HIYO NZURI SANA KULETA AMANI KWA WASANII LAKINI
IWE KWA WOTE BILA KUBAGUA WATATUE INAPOTEA MIGOGORO HATA YA KIMASLAI
PIA KUONDOA DHANA KUWA RUGE ANAPENDELEWA SERIKALI MADHALA YAKE KWA
HISIA HIZO NI KUBWA SANA,KUSIPO ZIBA UFA KUTAJENGA UKUTA TUCHUKUE
HATUA SASA, MAANA SISI NDIO TUPO KARIBU NA WASANII MUDA MWINGI
TUNAWAMBUSHA SERIKALI JUU YA UMUHIMU WATOA HUDUMA SAWA KWA WOTE BILA
KUJALI UMAARUFU WA MSANII KWA KUANZISHA DAWATI LA  HUDUMA KWA WASANII
ITASAIDIA SANA

MIMI
CHE MUNDUGWAO
MWENYEKITI- CHAMA CHA MUZKI ASILI TANZANIA NA
MJUMBE WA BODI SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA
MKURUGENZI WA USHIRIKIANO- SHIRIKISHO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...