Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 2, 2013

COASTAL UNION YAING'ANG'ANIA YANGA YATOKA SARE YA 1-1

Baadhi ya vikombe vilivyokuwepo uwanjani leo, hata hivyo vilishindwa kushehekewa vema baada ya Coastal Union kusawazisha 

Mshambuliaji wa Yanga Jerryson  Tegete akishangilia bao lake la pekee alillofunga kipindi cha kwanza akiwa na Said Bahanuzi na Nurdin bakari

Nizar Khalfan wa Yanga akiwa amebanwa vilivyo na mdogo wake Razack Khalfan wa Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa taifa, timu hizi zilitoka sare 1-1

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...