Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 22, 2013

TIKETI ZA ELEKRONIKI KUANZA KUTUMIKA UWANJA WA TAIFA


 Sehemu ya umati wa wapenzi wa soka wakishuhudia mechi ya watani w3a jadi Yanga na Simba Jumamosi iliyopita, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

SERIKALI imeandaa utaratibu wa kutumia tiketi za elektroniki kwa wapenzi wa soka watakaokuwa wanaingia kushuhudia mechi mbalimbali kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Akielezea bungeni leo, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amosi Makalla, alisema kuwa tiketi hizo zitaanza kutumika kwa majaribio  wakati wa mechi za kirafiki zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Alisema kuwa matumizi ya tiketi za kieletroniki zitasaidia sana kudhibiti mapato kwenye Uwanja wa huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...