Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 14, 2013

MAOFISA WA JESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI GHANA WATEMBELEA TBL DAR
Maofisa wa Jeshi kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha Ghana, wakitembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, kwa lengo la kujenga ushirikiano katika nyanja za Sayansi, Teknolojia, Kiuchumi na Kijamii.Maofisa wanaosoma katika chuo hicho wanatoka Afrika Kusini, Nigeria, Ivory Coast, Togo, Rwanda na Ghana. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (kulia) akitoa maelezo kwa maofisa hao kuhusu shughuli mbalimbali za kampuni hiyo.
Maofisa wa Jeshi wakitembelea kiwanda hicho
 Maofisa wa Jeshi wakipata maelezo jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta
Maofisa wakiwa na baadhi ya watalaamu wa maabara ya TBL
Add caption
 Mpishi wa Bia wa TBL, Kelvin Nkya akiwaeleza maofisa hao jinsi bia inavyochachuliwa
 Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine (kushoto) akimkabidhi zawadi
Maofisa wa Jeshi wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa TBL baada ya kumaliza ziara.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...