Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 22, 2013

TSN SUPERMARKET YAJIPANGA KUIMARISHA HUDUMA ZAKE KWA NJIA YA MITANDAO YA KIJAMII


Mkurugenzi Usambazaji wa TSN Supermarket, Swabir Abdulrahman akionesha uimara wa sahani aina ya Luminarc zinazouzwa na maduka yao.
Mkurugenzi Usambazaji wa TSN Supermarket, Swabir Abdulrahman akionesha sabuni ya maji aina ya Pufy zinazouzwa na maduka hayo.
Meneja Uhusiano wa TSN Group, Meshack Nzowa (kushoto) na Mkurugenzi wa Usambazaji TSN Supermarket, Swabir Abdulrahman  wakiangalia aina ya Ice Cream ya Kulfi katika duka la Tegeta, Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano wa TSN Group, Meshack Nzowa (kushoto) na Mkurugenzi wa Usambazaji TSN Supermarket, Swabir Abdulrahman wakiangalia aina ya juisi ya Lucozade Orange inayouzwa na maduka hayo.
Lango kuu la kuingilia TSN Supermarket Tegeta, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Usambazaji wa TSN Supermarket, Swabir Abdulrahman akielezea kuhusu mikakati ya kuboresha biashara zao kwa kuzitangaza kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ili kumrahisishia mteja kujua bidhaa zinazouzwa katika maduka yao yaliyopo, Tegeta, Bamaga Mwenge, Mikocheni na Upanga Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Kijamii wa Bongamx Media Limited, Frank Mgoyo, akielezea makubaliano na TSN Supermarket ya kutangaza bidhaa wanazouza kwenye mtandao huo.
Meneja wa Duka la TSN Supermarket Tegeta,Godbless Massawe, akifuatilia mahesabu katika duka hilo.


Mfanyakazi wa TSN Supermarket Tegeta, Shariffa Mbonde (kulia) akimhudumia mteja leo asubuhi katika duka hilo.

Meneja Uhusiano wa TSN Group, Meshack Nzowa (kulia) akijadiliana na Mkurugenzi wa Usambazaji TSN Supermarket, Swabir Abdulrahman jinsi ya kuboresha biashara kwa kutangaza kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Gongamx Media Limited.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...