Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 22, 2013

KUNYWA MAJI NA JUISI YA LIMAU ASUBUHI NI KINGA KUBWA KATIKA MWILI WA BINADAMU.


TUMEZOEA kuanza siku kwa kunywa vinywaji moto kama vile kahawa au chai na hii imekuwa ndiyo desturi ya maisha ya watu wengi duniani.

Lakini siyo lazima kuanza siku yako kwa kunywa vinywaji hivyo, ambavyo tafiti nyingi zimeonesha chai na kahawa vikitumiwa kupita kiasi vinaweza kuwa na athari kwa mtumiaji.
KATIKA kuangalia njia mbadala na bora ya kufungua kinywa na kuanza siku vizuri, imebainika kuwa glasi moja ya maji ya  uvuguvugu yaliyochanganywa na juisi ya limau kipande kimoja, yana faida kubwa mwilini na yanafaa kutumiwa kama kifungua kinywa asubuhi.

Zifuatazo ni baadhi ya faida kubwa za kunywa maji kwa kuchanganya na juisi ya limau asilia kama zilivyoanishwa na kuthibitishwa na tafiti mbalimbali za kisayansi:

HUSAIDIA USAGAJI CHAK

1 comment:

  1. KAKA TUADIANE BLOG LIST MIMI NIADI YA WEWE ADI YANGU SIUNAJUA TENA KUPEANA SHAVU,BLOG YANGU INAITWA ''HABARIKAMILIKAMILI.BLOGSPOT.COM, NICHEKI KWENYE KWENTE FACEBOOK NATUMIA JINA LA DENNI MAGESA AU NICHEKI KWENYE CHATTING BOX YA BLOG YANGU

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...